MAFUNZO YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA MALIASILI
News Training

MAFUNZO YA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA NA MALIASILI

May 14, 2026 By Rashid Ligaya

Mafunzo ya Uhifadhi maliasili na mazingira yatolewa kwa kamati ya maliasili na mazingira kijiji cha Merera kata ya Chita ,Halmashauri ya Wilaya Mlimba.


Mradi wa FOLUR kwa kushirikiana na wadau wa mazingira(SUMAMA) pamoja na wataalamu wa kitengo cha maliasili na mazingira kutoka Halmashauri ya Mlimba wametoa mafunzo kwa wajumbe 12 wa kamati ya maliasili na mazingira.Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo wajumbe wa VNRC pamoja viongozi wa kijiji(VEO) katika usimamizi endelevu wa rasilimali za asili.
Back to News & Events
Details
Published Date:

May 14, 2026

Category:

News

Type:

Training