News
Training
MAFUNZO YA ELIMU YA JINSI NA JINSIA KATIKA KILIMO CHA MPUNGA
June 16, 2026
By Rashid Ligaya
Katika kujifunza Mbinu bora za Kilimo Wakulima na Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Mlimba wamepata Elimu ya suala zima la jinsi na jinsia.
Afisa Ustawi wa Jamii kutoka Halmashauri ya Wilaya Mlimba akieleza wa kulima wa kata ya Mchombe Kijiji cha Mkusi suala la jinsia katika shughuli za kilimo.